Wednesday, October 26, 2011

JAHAZI MORDEN TAARAB INAKULETEA USIKU WA BABA NA MWANA.

 MFALME MZEE YUSSUF AKIWA NA ISHA MASHAUZI
 ISHA MASHAUZI 'DUME LA SIMBA' AKIWA KATIKA POZI
HAPA NI MZEE YUSSUF.

WAKALI WA MUZIKI WA TAARAB NCHINI, JAHAZI MORDEN WANAKULETA ONYESHO MAALUMU LITAKALOFANYIKA JUMAPILI HII KATIKA UKUMBI TRAVETINE MAGOMENI.

ONYESHO HILO LILILOPEWA JINA LA USIKU WA BABA NA MWANA LITAWAKUTANISHA ISHA MASHAUZI NA MZEE YUSSUF AMBAO WATALISHAMBULIA JUKWAA SIKU HIYO.

WAIMBAJI HAO MAHIRI KATIKA TASNIA YA TAARAB WAMEAHIDI KUTOA BURUDANI YA NGUVU SIKU HIYO NA WAMEWAOMBA WAPENZI NA MASHABIKI KUJITOKEZA KWA WINGI SIKU HIYO.